Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TIMES SCHOOL OF JOURNALISM WAMEREMETA KWENYE MAHAFALI LEO

Baadhi ya wanafunzi wahitimu wa mafunzo ya uandishi wa habari kwenye Chuo Cha Uandishi wa habari Cha Times (Times School of Journalism) wakifuatilia mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaaam, ambapo wanafunzi wa Stashahada na Astashahada wamehitimu.
Wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi kwenye mahafali hayo huku wakiwa na tabasamu tele baada ya kumaliza Masomo yao.
Wadau wakipozi baada ya kula Nondozzzzz! Kwa furaha kubwa wanashoo love kwa kamera .
Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Deus Kibamba akizungumza na wazazi, wanafunzi na wahitimu wa Masomo wa Chuo hicho kwenye mahafali yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Burudani Mwanzo Mwisho Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top