Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (kulia) wakiongozwa na Dkt. Salim Ahmed
Salim wapokea maoni kuhusu Katiba Mpya kutoka kwa uongozi wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulioongozwa na Mwenyekiti wake Ndg.
Freeman Mbowe katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam leo
Jumatatu Januari 7, 2013.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment