Dereva wa baiskeli ya miguu mitatu maarufu kama guta ambae jina lake halikuweza kujulikana akiwa ameuchapa usingizi wa pono baada ya kazi ngumu ya kuliendesha guta katika kujitafutia riziki akiwa kajipumzisha chini ya kivuli pembezoni mwa barabara ya Sam Nujoma
Picha na Chediel
Post a Comment