Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LUNDO HILI LA MATAWI YA MITI MPAKA UN WAJE ?

Mkazi wa jiji akipita karibu na lundo la matawi ya miti yaliyotelekezwa kwa zaidi Wiki moja katika makutano ya Mtaa wa Mosque na Mshihiri Posta, Dar es Salaam juzi. Ukataji wa miti na kuachwa katika barabara pamoja na kuchafua mazingira pia unasababisha kero kwa watumiaji wa barabara hizo.
Picha na Peter Twite
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top