WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Vyama vya siasa
naasasi mbalimbali kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini
Mtwara leo.PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na Maimamu wa mkoa wa Mtwara
kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa veta mjini Mtwara Januari 27,
2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mku
Baadhi ya maimam wa mkoa wa Mtwara wakiomba dua kabla ya kikao chao na
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu Mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA
mjini Mtwara Januari 27, 2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)



Post a Comment