Kufuatia vurugu zilizotokea huko mkoani Mtwara spika wa bunge Mh. Anne Makinda amesema ataunda tume kwenda kuchunguza kiini cha tatizo la mivutano inayoendelea lengo likiwa ni kuepusha hatari inayoweza kutokea katika taifa.
Loading...
KATIKA PICHA NA MAKALA:Changamoto za maisha na ufumbuzi wake
Your description comes here!
Post a Comment