Dogo akiwa amejipumzisha chini ya kivuli cha Bango pembezoni mwa barabara iendayo Mikoa ya Moshi,Arusha karibia na Segera akisubiria wateja ambao ni abiria wanaposimama na mabasi ili kuweza kuwauzia vinu vidogo vilivyonakshiwa vizuri.Imekuwa ni kawaida kuwakuta vijana wengi wakijitafutia kipato kwa kufanya biashara ndogo ndogo kwa abiria huku wengine wakionekana na umri mdogo wa kuwa shule.
Picha na Chedi
Post a Comment