Abiria wakishuka ili kwenda kuchimba dawa katika maliwato za kituo cha mafuta na mizani tofauti na zamani ambapo walikuwa wanaingia porini hii ni kutokana na agizo la Serikali kupiga marufuku kuchimba dawa ovyo.SOMA:Mwakyembe:Marufuku kuchimba dawa.
Basi la satelite linaloelekea Tanga likiwa limepaki ili abiria kuweza kujisaidia''kuchimba dawa'' kama inavyojulikana katika maliwato za kituo cha mafuta kilichoko pembezoni mwa barabara kuu iendayo Mikoa YaTanga,Moshi na Arusha kituo hicho kipo kwenye mizani mipya ya Chalize.
Kituo cha Mafuta LUGOBA kama kinavyonekana kikiwa na mandhari nzuri ya kupendeza
Picha na Chediel
Hapo mwanzo Serikali ilisema 'kuchimba dawa' porini ni kitendo cha aibu na kudhalilisha utu wa binadamu SOMA:Serikali yasema ‘kuchimba dawa’ porini ni aibu.
Hivyo ikaamua kupiga marufuku 'kuchimba dawa' ovyo njiani na kuja na mkakati wa kuainisha vituo vya abiria 'kuchimba dawa'.
Ikiwa na mikakati ya kuzuia hali hiyo Serikali ilitangaza vituo vya 'kuchimba dawa' SOMA:Vituo vya 'kuchimba dawa' vyatangazwa.
Post a Comment