Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UKUTA WAANGUKIA MAGARI, WAJERUHI WATATU KITUO CHA MABASI UBUNGO



Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
imonomy - free enrichment tools for your site.Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
imonomy - free enrichment tools for your site.Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
imonomy - free enrichment tools for your site.Hii ndiyo hali halisi ya tukio lilivyokuwa.
imonomy - free enrichment tools for your site.Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
imonomy - free enrichment tools for your site.Ilikuwa ni hasara tupu.
imonomy - free enrichment tools for your site.Hali ilikuwa ni mbaya katika zahama hiyo ya alfajiri ya leo.
imonomy - free enrichment tools for your site.Watu wakiangalia magari yao.
imonomy - free enrichment tools for your site.Kenyela akiongea jambo juu ya ajali hiyo.
imonomy - free enrichment tools for your site.Mkatisha ushuru wa maegesho hayo akiendelea kukusanya ushuru.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo.
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri  umeanguka na kuyaharibu vibaya magari  zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.
                                                            Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top