Mkuu wa Wilaya ya Hai,Mhe.Novatus Makunga amesema kumetoea Maafa mvua yenye upepo mkali jana imeezua
mapaa ya nyumba nne shirimgungani na nyumba kumi na mbili kwatito na
migomba zaidi ya mia tatu,misaada ya kibinadamu inahitajika.
Mojawapo ya nyumba zilizoezuliwa paa na kuanguka kabisa kutokana na Maafa wilayani Hai,nyumba 23 zimeezuliwa mapaa,nne kati ya hizo zimeanguka kabisa,misaada ya kibinadamu inahitajika kwa ajili ya wahanga wa mvua hiyo.
(Picha kwa Hisani ya Mkuu wa Wilaya)
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Saturday, February 2, 2013
Post a Comment