Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UGOMVI WA KUGOMBANIA MWANAMKE WAMSABABISHIA MAUTI

Mwili wa marehemu Daniel Mwasalemba mwenye umri wa miaka 30 ukiwa umelazwa baada ya kutolewa ndani.Marehemu amechomwa visu mwilini kisa kikiwa ni kugombania Mwanamke.
Huyu ndiye anaye anayedhaniwa kusababisha kifo cha Daniel aliyejulikana kama Peter akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mwenyeji wa Sumbawanga kazi yake ikiwa ni kuosha mabasi ya Kampuni ya Sumry Jijini Mbeya.
Kijana aitwae Peter akiokolewa na wana usalama mara baada ya kufika eneo la tukio kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.
Hapa ndipo marehemu Daniel alipouawa ndani ya chumba hicho.
.Ndugu wa marehemu wakiangua kilio mara baada ya kuona mwili wa ndugu yao Daniel
Ilikuwa ni purukushani nguo kuchanika pale mshukiwa alipokuwa yuko chini ya ulinzi kwani kila aliyekuwa na cha kurusha alifanya hivyo na kuwa taharuki kubwa.
Kijana anaedhaniwa kumuua Daniel akiwa amelala chini baada ya kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali waliokuwepo eneo la tukio.
Polisi wakiwa wameuchukua mwili wa marehemu Daniel baada kwenda kuuhifadhi.

PICHA NA KAMANGA via Mbeya Yetu Blog
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top