Msanii
maarufu wa tasnia ya filamu nchini Wema Sepetu jana aliweza kumuepushia
msanii mwenzie wa kike(KAJALA (pichani)
Kajala wakiwa na mumewe wakisubiri hukumu
Baba Kajala akishauriana na baadhi ya wasanii
Msanii
maarufu wa tasnia ya filamu nchini Wema Sepetu jana aliweza kumuepushia
msanii mwenzie wa kike(KAJALA) kifungo cha miaka mitano jela
baada ya kumlipia faini ya Tsh milioni 13.Kajala
Masanja aliachiwa huru jana baada ya kusota rumande kwa muda mrefu
kutokana na kukabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe,
Faraji Agustino kukumbwa na tuhuma za kutakatisha fedha haramu. Katika
kesi hiyo, Kajala alihukumiwa kwenda jela miaka 5 au kulipa faini ya
shilingi milioni 13 wakati Mumewe Faraji amehukumiwa kwenda jela miaka
mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 213.
Post a Comment