Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika
picha ya Pamoja na Rais wa China Mhe.Xi Jinping pamoja na Mkewe katika
ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere muda mfupi baada ya
sherehe za ufunguzi wa ukumbi huo leo.
(picha na Freddy Maro)
Post a Comment