.jpg) |
| Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) na ujumbe wake,
wakionyweshwa maumbo ya namna kiwanda cha viatu cha Huajian mjini
Dongguan, China, alipotembelea kiwanda hicho, Machi 13, 2013, akiwa
katika ziara ya mafunzo, nchini China. (Picha na Bashir Nkoromo). |
 |
| Wafanyakazi wa Kiwanda cha viatu cha Huanjian, Dongguan, wakiwa kazini. |
.jpg) |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, wakipata maelezo
kwa video, kuhusu kiwanda cha viatu cha Huajian mjini Dongguan, China,
alipotembelea kiwanda hicho, Machi 13, 2013, akiwa katika ziara ya
mafunzo, nchini China. (Picha na Bashir Nkoromo) |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Friday, March 15, 2013
Post a Comment