 |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim
wakiangalia watoto wachanga waliotunzwa katika chumba maalum muda
mfupi baada ya kuzaliwa wakati Rais Kikwete alipotembelea sehemu
mbalimbali
za hospitali ya Kumbukumbu ya Hubert Kairuki akiwa
mgeni rasmi katika sherehe za miaka 25 ya kuanzishwa kwake Machi
16, 2013.
|
 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Waziri
Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, na viongozi wa hospitali ya Hubert
Kairuki wakiwa katika picha ya pamoja na vijana waliozaliwa
katika hospitali hiyo miaka 25 iliyopita Machi 16, 2013.
|
 |
Mkurugenzi Mkuu wa hospitali ya Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Mama
Koku Kairuki akimkabidhi tuzo Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua
mchango wake mkubwa katika kuendeleza sekta ya afya nchini wakati wa
sherehe za miaka 25 ya hospitali hiyo Machi 16, 2013
|
 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za miaka
25 ya hospitali ya Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Mikocheni, Dar es
salaam, Machi 16, 2013
|
 |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua
rasmi hosteli ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert
Kairuki wakati wa sherehe za miaka 25 ya hospitali ya Hubert Kairuki
Mikocheni, Dar es salaam, Machi 16, 2013 |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Monday, March 18, 2013
Post a Comment