Mmoja
wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam akiwa amepanda mkokoteni kuvushwa
kutoka upande mmoja wa barabara kwenda mwingine maeneo ya Kariakoo
Wananchi
anuai wakivushwa kwa mikokoteni kuepuka kuingia kwenye maji
yanayofurika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, hii ni maeneo ya
Kariakoo jana.
Mvua
jijini Dar es Salaam ni kero kwa kila mmoja. Picha mbalimbali juu
zikionesha wananchi wakipambana kukabiliana na kero za kujaa maji
barabarani, hii ni eneo la Msimbazi.
Post a Comment