|
Katibu
Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Vijana
wafanyabiashara wadogo wa Magole,Feri ,Mvomero alipokuwa anaingia
wilaya ya Mvomero . |
|
Katibu
Mkuu wa CCM Taifa,Ndugu Abdulrahaman Kinana akisalimiana na vijana
wafanya biashara wadogo wadogo wa Feri,Magole,Kinana aliwashauri vijana
hao kuanzisha ushirika wao na yeye atawawezesha kuboresha mtaji wao.(18
April 2013) |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Friday, April 19, 2013
Post a Comment