 |
| Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo tarehe 5
Aprili, 2013 kuhusu msimamo wa Tanzania wa kusubiri uamuzi utakaotolewa
na Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji, Mhe.
Joachim Chisano kuhusu mgogoro wa mpaka katika Ziwa Nyasa kati ya
Tanzania na Malawi. |
 |
| Baadhi
ya Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya Habari wakimsikiliza Mhe.
Membe (hayupo pichani) alipozungumza nao kuhusu msimmo wa Tanzania
kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Tanzania na Malawi juu ya mpaka
katika Ziwa Nyasa |
 |
| Wanahabari wakiwa kazini. |
 |
| Mhe.
Membe akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani).
Wengine katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (kulia) na Naibu Katibu Mkuu,
Balozi Rajabu Gamaha. |
 |
| Balozi
Liberata Mulamula (kulia), Mshauri Mwandamizi wa Rais katika masuala ya
Diplomasia naye alikuwepo wakati wa Mkutano wa Mhe. Membe na Waandishi
wa Habari. Katikati ni Balozi Irene Kasyanju, Mkurugenzi wa Kitengo cha
Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mhe.
Shamim Nyanduga (kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji. |
 |
| Mhe.
Membe akiendelea kutoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mgogoro
wa mpaka katika Ziwa Nyasa unaozihusu Tanzania na Malawi huku Katibu
Mkuu, Bw. Haule (katikati) na Balozi Vincent Kibwana, Mkurugenzi wa
Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa wakisikiliza. | |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Saturday, April 6, 2013
Post a Comment