Shabiki wa Yanga akichukua matukio ya uwanjani.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao huku wakiwa na mfano wa kombe la Ligi Kuu.
Mshambuliaji
wa JKT Ruvu, Mussa Mgosi akimtoka beki wa Yanga Mbuyu Twite katika
mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliuofanyika lleo kwenye uwanja wa
taifa jijini Dar es Salaam. Yana ilishinda 3-0.Picha na Dande Francis
Post a Comment