Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TAZAMA PICHA 11 ZA KIBAKA ALIYEIBA NGUO MABIBO HOSTELI NA KUPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI SIKU YA IJUMA KUU


Pichani Kijana ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa wasamaria wema waliamua kumnusuru na kipigo kutoka kwa wakazi wa Hosteli aliamua kuianza sikukuu ya Pasaka siku ya Ijumaa Kuu 29.03.2013 kwa kuingia Hosteli ya Mabibo majira ya saa 9 mchana na kuiba nguo.











 

Kijana ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja aliamua kuianza sikukuu ya Pasaka siku ya Ijumaa Kuu 29.03.2013 kwa kuingia Hosteli ya Mabibo majira ya saa 9 mchana na kuiba nguo. Mwizi huyo wa nguo alikamatwa na kupigwa kipigo cha mbwamwizi na almanusura yake ni  Polisi walipofika kumuokoa kutoka kwenye kundi kubwa la vijana waliomkamata huku wengine wakimkinga asipate kipigo huku wengine wakiwa na fimbo na mawe wakimwandama kibaka huyo.

Picha na Mdau wa Naimann Kavumo wa Mabibo Hosteli

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top