Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Gazeti la Mfanyakazi wakati
wa kilele cha Sherehe ya Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei mosi zilizofanyika
kitaifa katika uwanja wa michezo wa Sokoine mkoani Mbeya.kushoto ni
Kaimu Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Bi.Nortiburga Maskini
na kulia ni Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ndugu
Nicholaus Mgaya.Picha na Freddy Maro-IKULU
Loading...
Post a Comment