Nizar Khalfan akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Coastal
Union ya Tanga, Philip Mugenzi katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
Mashabiki
wa Yanga wakishangilia timu yao wakati ikipambana na Coastal Union ya
Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Yanga tayari
imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha pointi 57 ambazo hakuna timu
yoyote inayoweza kuzifikia.Picha na Dande Francis
Post a Comment