Mkurugenzi
 Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa mada wakati wa 
Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi 
wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.  
Mmoja
 wa wajumbe wa mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa CRDB akiwa katika 
maandalizia ya kuingia katika ukumbi wa  mikutano wa AICC jijini Arusha.
 
 Mtangazaji Mkongwe, Salim Mbonde (kulia) akifuatilia Mkutano Mkuu wa  
18 wa Wanahisa wa CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
 
 Wanahisa wa mkutano huo. 
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji 
wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) wakati wa Mkutano Mkuu wa
 18 wa Wanahisa wa benki hiyo jijini Arusha. 
 Mwanahisa akitoa mada. 
 Mwenyekiti wa Mkutano huo akisoma majina ya wajumbe waliochaguliwa kuingia katika Bodi ya Wakurugenzi. 
 Naibu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akiwa na 
baadhi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo pamoja na mmoja wa wanahisa (wa pili
 kulia).  
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyadhiyay akiwa na mke wake pamoja na mjumbe wa bodi ya CRDB, Kai.  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo. 
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akiteta jambo
 na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei. 
 Wanahisa. 
Charles
 Itembe akitoa mada kuhusu fursa za uwekezaji na upatikanaji mitaji 
katika masoko ya fedha wakati wa semina ya wanahisa wa benki ya CRDB 
iliyofanyika mjini Arusha. 


Post a Comment