Ulinzi
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete
mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete
mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
Barack Obama wa Marekani akikagua gwaride la heshima wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.
Gari alilopanda Rais Obama kutoka uwanja wa ndege
Rais
Barack Obama akishuka katika ndege iliyomleta huku akifuatana na
familia yake akiwemo mkewe, Michelle na watoto wao Sasha na Malia.
Rais Obama na mkewe, Michelle wakipokea maua.
Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto Blog
Post a Comment