Binti mkazi wa kijiji cha Madope
wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ambae jina lake halikuweza
kupatikana mara moja akitoka shamba kubeba mahindi kwa kutumia
usafiri wa Punda kama alivyo naswa na kamera ya matukio daima .com.
PICHA na Mzee wa Matukio Daima