Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:JAMAL MALINZI ALIPOZINDUA KAMPENI KUWANIA KUW RAIS WA TFF


 Mgombea wa Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akizindua kampeni yake leo jijini Dar, mbele ya waandishi wa habari na wadau wa mpira wa miguu ambapo alielezea mikakati yake mbali mbali ya kuendeleza soka.
 Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi akiongea na vyombo vya habari.
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.
Waandishi wa habari wakiwa kwa wingi kufuatilia mgombea Jamal Malinzi wakati akimwaga sera zake mbele ya wajumbe.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top