Mshambulia
wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na mchezaji wa Future
Young Taifa Stars, Kabanda katika mchezo kirafiki uliofanyika jana kwenye
Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Kiungo wa Taifa Stars, Athuma Idd "Chuji" akichuana na mchezaji wa Future Young Taifa Stars,Paul Nonga.
Beki wa Stars Erasto Nyoni (kushoto), akichuana na mshambuliaji wa Future Young Taifa Stars, Simon Msuva.
Erasto Nyoni akipimana ubavu na Simon Msuva.
Chuji akimtoka Paul Nonga.
Uniwezi bwana mdogo......Chuji akichuana na Paul Nonga wa Future Young Taifa Stars.
Makocha wakijadiliana jambo wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wakishuhudia mechi hiyo kupitia katika jengo la Machinga Complex.
Msuva akitoka baada ya kuumia.
Moja ya hekaheka.(Picha na Francis Dande)