Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwana wa Malkia
Elizabeth II wa Uingereza, Prince Charles, jijini Colombo, Sri Lanka leo
pembeni ya Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM). Prince Charles anamwakilisha Mama yake Queen
Elizabeth II, ambaye hakuhudhuria kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka
40 ya historia ya Mkutano huo. Mwingine
katika picha hiyo ni Mhe. Balozi Peter Kallaghe wa Tanzania nchini Uingereza. (picha na Ikulu).
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.