Featured

  Featured Posts

  Social Icons

Loading...

FURSA YA BIASHARA


Je, una ndoto ya kuishi maisha yaliyokamilika ya kitajiri ? Vipi kama ungeyabadilisha maisha yako na maisha ya mamia au ata maelfu ya watu wengine ? Utakuwa na furaha kiasi gani pale ambapo ungefanikiwa kuyafikia malengo ambayo watu wengi wanayaota ?
Kupitia Trevo ,utabadilisha maisha yako na kufikia malengo.Utahamasishwa kuishi maisha ya hali ya juu na yenye uhuru usio na mipaka;kuishi bila madeni;kuishi maisha ya furaha;maisha ya kutajirika;na maisha yanayotimiza malengo yako na jinsi unavyotaka yawe mahali unataka .
Leo,Fursa hii ya kuwa sehemu ya wafanyabiashara wa kimataifa umeishikilia mikononi mwako,kwa yule ambaye nafasi yake ya kufanya hivyo haijabanwa.Kwa hiyo hapa swali ni kwamba,je wewe unafikiria mbali
Jua sasa njia nane za kutengeneza pesa na Trevo
 1. Kupata faida ya asilimia 25% – 40% ya mauzo ya reja reja .
 2. Kupata hadi 40% ya bonasi ya haraka ya kuanzia .Hii ina maana kwa kila mtu umuingizaye kwenye biashara utapata kati ya sh 100,000 hadi 800,000 kutegemeana na kifungu cha biashara alichoanza nacho
 3. Kupata hadi 20% ya bonasi ya uwiano .Hii ni kwa kila msambazaji uliyemwingiza anapoingiza msambazaji mwingine nyuma yake
 4. Ngazi 8 za Faida /kamisheni za ukubwa wa kundi.Hii ina maana ni kipato toka vizazi vinane vilivyo kwenye timu yako kila mwezi
 5. Ngazi nne za faida za vifurushi au mifuko ya jumla.Hii ni kila msambazaji kwenye timu yako anaponunua vifurushi kila mwezi
 6. Kamisheni za Pongezi – Asilimia 15 ya kipato cha mwezi duniani pote kulipwa kwa wakufunzi wote duniani kwenye ngazi 15
 7. Bonasi za viongozi – Bonasi ya gari, Utalii wa kimataifa,zawadi maalum za pesa taslimu
 8. Bonasi za wahisani
 Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga piga simu au whatsapp +255 755 285 328 AU +255 655 285 328
Ukiacha ujumbe ututumie hapa chini ututumie namba ya simu tuwasiliane nawe haraka zaidi !
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top