Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JUA FURSA NA UMUHIMU WA TREVO


Trevo Trevo ni bidhaa kutoka Marekani yenye virutubisho vya asili 174.Imetengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa hali ya juu .
Formula hii ya Trevo inakupa wewe na familia yako ladha nzuri na njia rahisi ya kurejesha afya bora na pia kulinda mwili wako na kuupa afya bora zaidi.
Trevo pia inakupa fursa ya kuongeza kipato na kuwa na biashara yenye mafanikio kupitia njia nane za kutengeneza pesa ! Hii ni biashara inaweza fanywa na mtu yeyote mwenye nia awe mwalimu,mwanafunzi,daktari,injinia,mkufunzi wa afya,kondakta,mfanyabiashara mkubwa au mdogo nk. Trevo ni njia ya kweli kufikia malengo yako na kuwa na biashara kubwa kimataifa.Kamata fursa leo hii.
Trevo Inaimarisha
  • Ufahamu wa kiakili-mental focus
  • Kudhibiti uzito Afya ya moyo- Blood pressure and Heart health
  • Afya ya seli Afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – digestion system
  • Afya ya mfumo wa neva za fahamu – nervous system
  • Afya ya mfumo wa kinga ya mwili -immune system
  • Afya ya mifupa na viungo Afya ya mfumo wa damu – blood circulation
  • Afya bora ya mwili mzima
  • Nishati ya kutosha mwilini Kuongeza nguvu mwili
  • Afya ya sukari damuni- Blood sugar level
  • Kusaidia wenye vidonda vya tumbo na magonjwa ya kina mama
  • Trevo imethibitishwa na ORAC,Cap-e ,Halal,Kosher,Vegetarian,na TFDA
  • Kwa maelezo zaidi  wasiliana nasi kupitia +255 655 285328 ujipatie kinywaji iki na pia kujiunga na biashara ya kimataifa  (Acha ujumbe mfupi sms/whatsapp simu isipopokelewa)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top