Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akihutubia Wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni, Uliofanyika eneo la
Namanga, Jimbo la Longido, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwapungia wananchi wa Jimbo la Longido, wakati alipowasili kwenye
Viwanja vya Namanga, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 7,
2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akisalimiana na baadhi ya Watoto wa Mji wa Namanga.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiteta jambo na aliewahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani katika
Serikali ya Kenya, Mzee John Keen, alifika eneo la Namanga kuhudhulia
Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 7, 2015.
Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mji wa
Namanga katika Jimbo la Longido Jijini Arusha, ukiwa umefurika kwa wingi
katika Uwanja wa Namanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, anaeendelea kunadi sera zake katika maeneo
mbali mbali hapa nchini.
Post a Comment