Umati wa
Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA,
Mh. Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake
ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika
Mkutano wa Kampeni zake, Oktoba 5, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wananchi
wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward
Lowassa, pindi alipowasili katika Uwanja wa Polisi Monduli,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, Oktoba 5, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Polisi Monduli Mjini, Oktoba 5, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli
kwa tiketi ya CHADEMA, Julius Kalanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni
uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini leo Oktoba 5, 2015.
Mke wa Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia Wananchi
wa Mji wa Monduli, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini leo Oktoba 5, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia Wananchi wa Mji wa Monduli, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini leo Oktoba 5, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA, Julius Kalanga,
akizungumza machache juu namna atakavyoweza kuendeleza pale alipoaishia
Mbunge wao wa awali.
Mh. Joshua Nassary wa Arumeru Mashariki akitema cheche zake.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick
Sumaye, wakionyesha lundo la kadi za wanachama wa CCM wa Wilaya ya
Monduli, waliozirudisha ili kuungana na Watanzania wote kwenye harakati
ya Mabadiliko, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa
Polisi, Monduli Mjini leo Oktoba 5, 2015. Kulia ni Aliekuwa Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Monduli, Rubein Ole Kuney akiejiunga na Chadema.
Aliekuwa
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh. Joshua Nassary, akizikusanya
kadi za Wanachama wa CCM zilizorudishwa na kujiunga na Chadema, wakati
wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini
leo Oktoba 5, 2015.
Post a Comment