Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, hivi karibuni alifanya mambo ya aibu ikiwemo kuvua nguo na kukata mauno mbele za wasichana.
Baba huyo akisakata rumba.
Tukio hilo lilijiri ndani ya Ukumbi wa Highway Night Park uliopo Ukonga jijini Dar wakati Bendi ya Mashujaa Musica ilipokuwa ikiporomosha burudani.Awali, mwanaume huyo ambaye ilidaiwa siku nyingine katika kiwanja hicho akiwa na ‘my wife’ wake alianza kupandwa na midadi kufuatia muziki uliokuwa ukipigwa, ikafika wakati…
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, hivi karibuni alifanya mambo ya aibu ikiwemo kuvua nguo na kukata mauno mbele za wasichana.
Baba huyo akisakata rumba.
Tukio hilo lilijiri ndani ya Ukumbi wa Highway Night Park uliopo Ukonga jijini Dar wakati Bendi ya Mashujaa Musica ilipokuwa ikiporomosha burudani.Awali, mwanaume huyo ambaye ilidaiwa siku nyingine katika kiwanja hicho akiwa na ‘my wife’ wake alianza kupandwa na midadi kufuatia muziki uliokuwa ukipigwa, ikafika wakati akaamua kulivamia jukwaa na kuanza kuvua tisheti.
Post a Comment