Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Ndugai: Hatuwezi Kumlipa Mtu Ambaye si Mtumishi wa Bunge..


  • Spika wa Bunge, Mh.Job Ndugai amesema kuwa, Bunge haliwezi kumlipa mtu ambaye sio Mtumishi wa Bunge kutokana na kanuni za Kihasibu.
  • Amesema hayo wakati alipotafutwa na Gazeti la Nipashe waliotaka ufafanuzi kile ambacho baadhi ya Wabunge kutaka posho zao zielekezwe Jimboni kwao mojamoja badala ya wao kuzipokea ,amesema Mbunge anayetaka hivyo ni vyema akachukua Posho hiyo na kuipeleka Mwenyewe Jimboni kwake
  • Pia amedai swala lakufuta Posho ni ligumu kutokana na Kwa sababu za kiusalama Wabunge wanapaswa kukaa katika hoteli zenye hadhi na usalama wakutosha, Hivyo labda kuwepo na uwezekano wakuangalia jinsi ya kuzipunguza.
    WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top