Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula (kulia), akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al-Najem alipokuja kumtembelea Wizarani. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano zaidi kati ya Tanzania na Kuwait katika sekta mbali mbali zikiwemo zile kiuchumi na biashara. Pia Balozi Jasem Ibrahim Al-Najem alitumia fursa hiyo kuipongeza Wizara na Watanzania kwa kumpata Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mazungumzo yakiendelea huku Afisa Mambo ya Nje Bw. Tahiri Bakari (wa kwanza kulia) akisikiliza na kunukuu.

Picha na Reginald Philip
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top