
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha
wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib

Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu
wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya
uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Aliyekuwa
mbunge wa jimbo la Karagwe Gosbert Blandes akikabidhiwa fomu za kuwania
nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed Seif Khatib

George
Nangale akipitia fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kukabidhiwa na Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.

Banda
Sonoko akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib

Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed Seif Khatib akimkabidhi fomu Ndugu Simon G. Rubugu.
Hawa
ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi
Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa
mbunge
wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa
Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu
Post a Comment