Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa, amesema hakuwa na taarifa yeyote juu ya uteuzi wake uliofanywa na Rais.

Akizungumza na Azam TV, Mheshimiwa majaliwa amedai usiri uliotumika ni mkubwa ambao hata yeye atauendeleza katika kuimarisha Serikali.

“Huwezi amini mpaka asubuhi nafanya zoezi na Wabunge wenzangu sikuwa najua lolote, mimi ni kocha wa timu ya mpira ya Bunge.

"Yani mpaka Spika ameanza na ile Ruangwa nikapigwa na butwaa, na nimelia kwa sababu sikuamini kilichotokea, ila ndo hivyo Rais ameniamini akanipa nafasi” alisema Mh. Majaliwa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top