Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WIZKID LIVE IN DAR

Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo.
Akizidi kuwarusha mashabiki.
Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo.
...Akinengua na madansa wake.…
Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo.
Akizidi kuwarusha mashabiki.
Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo.
...Akinengua na madansa wake.
Christian Bella naye akifanya yake.
Steve Nyerere akimtunza Bella.
Vincent Kigosi 'Ray' naye akimwaga manoti kwa Christian Bella.
Ben Pol akiwarusha mashabiki.
Fid-Q akikamua.
Umati wa watu ukifuatilia onyesho hilo.
Mwanamuziki mahiri kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun 'Wizkid' jana alizikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliohudhuria katika onyesho lake la Wizkid Live in Dar lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar.
Onyesho hilo pia lilinogeshwa na wanamuziki wakali wa hapa nchini akiwemo Diamond Platnumz, Christian Bella, Fid Q na Ben Pol.
(Picha: Musa Mateja GPL)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top