Meneja
Mkuu wa Efm redio, Denis Sebo akiwa katika picha ya pamoja na washidi
wa shindano la shika ndinga walioshinda pikipiki kwenye viwanja vya Jica
Shule Ilala jijini Dar es salaam. Kulia ni Zainabu Mhagama na kushoto
ni Said Abdallah.
Washiriki wa Shindano hilo wakiendelea kushindana kwenye viwanja vya Jica Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Efm redio, Denis Sebo akiwatazama washiriki wa kwenye viwanja vya jica Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji
wa kipindi cha uhondo Adam Melele a.k.a Swebe Santana wa Efm redio
akimkaribisha Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro ili
atowe zawadi kwa washindi wa tatu na wa pili kwenye viwanja vya jica
Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
.Meneja
wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro akiwa na washiriki wa
shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Meneja
Masoko wa Vodacom Materi Mushi akiwakatika picha ya pamoja na washiriki
wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Watu wa huduma ya kwanza wakiwahudumia washiriki wa Shindano hilo
Wananchi
wa wakifatilia mashindano hayo kwenye viwanja vya jica Shule Ilala
jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)
Post a Comment