Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa mkongwe,Kingunge Ngombale-
Mwiru wakati alipokwenda kumpa pole Mwenyekiti wa CHADEMA na
kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe kufuatia kifo cha kaka
yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu,
Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Post a Comment