Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BAADA YA 'CHURA'KUFUNGIWA , SNURA AIBUKA NA KUOMBA MSAMAHA

Snura Mushi awaomba radhi Watanzania, kwa kutengeneza video isiyokuwa na maadili yenye kumdhalilisha Mwanamke.Video hiyo ya wimbo wa Chura imekuwa gumzo toka itoke kwenye mitandao ya kijamii.

Snura ameahidi kutekeleza maagizo. Achukua hatua za kusajiliwa rasmi kwa ajili ya shuguli za kisanii.

Ila amewananga wanaume kuwa wanachochoe wao wasanii kufungiwa kwa kuwa kuna kina dada ambao hufuata wanaume  wawapo jukwaani.

Snura: "Wanaofata wanaume majukwaani waache wanatuharibia tunaofanya kazi"

Snura: "Mimi sijafungiwa kufanya sanaa, aliefungiwa ni Chura"

Snura Mushi na meneja wake Hemedi Kavu walionesha vyeti kuwa Snura ameshasajiliwa na kutambuliwa rasmi na BASATA.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top