Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHADEMA:Swala la Sukari lisitu Sahaulishe Lugumi na Ripoti ya CAG,Tusiwe Wepesi Wakutolewa Kwenye Reli

Hivi ile kamati ya PAC imeishia wapi na ishu ya Lugumi? Mbona hapa pako kimya? Na tukizingatia ni ishu inayogusa jeshi letu la polisi? Hapa jipu halitumbuliki?

Nimejiuliza maswali hayo nikasema nilini Watanzania tutalazimisha Watawala wajue tumechoka na kusikia ishu zikiibuliwa na kuishia njia.... Au huko Bungeni wanaliongelea na sisi huku hatusikii wala kuona kwakuwa Bunge halipo live?

Swala la Sukari lisitu sahaulishe Lugumi na Ripoti ya CAG..... tusiwe wepesi wakutolewa kwenye Reli, Lugumi na Ripoti ya CAG imeishia wapi ama inaendeleaje?

HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA

By Henry Kilewo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top