Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

YANGA YAIPIGA BAO SIMBA

Klabu ya Simba inazidi kupata maumivu ambayo yanazidi kila siku baada ya kuukosa Ubingwa sasa habari mbaya imetua Msimbazi baada ya kuzidiwa kete na watani wao wa Jangwani kwa kumchukua Beki wao Hassan Kessy.
 
Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy hatimaye amesaini kuichezea Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, Hii ni baada ya mkataba wake na Simba wa miaka miwili kumalizika.

Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Akiwa na Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit Kessy ataanza kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top