Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI APOKEA MSAADA WA MADAWATI KUTOKA LAPF
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe.Ally Hapi leo hii amepokea madawati 124 kutoka kwa mfuko wa jamii wa LAPF kama mchango wao kupunguza kero ya madawati kwa shule za manispaa ya Kinondoni .Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika leo mbele ya ofisi ya mkururugenzi wa manispaa ya Kinondoni.Akiongea wakati akikabidhi madawati hayo mkurugenzi wa Mawasiliano James Mlowe amesema wameteua manispaa hii kuwapa msaada wa madawati kwa kuwa wafanyakazi wa wilaya ya Kinondoni wamekuwa niwafanyakazi wanaoongoza kuleta michango kwa wakati ukilinganisha na halmashauri zingine
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top