Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UCHAFU BADO HALI SIO SHWARI JIJI DSMWengi tunatamani kuona miji yetu ikiwa misafi kama nchi ya Rwanda lakini bado hali hiyo imekuwa safari ndefu  kwetu kwani bado tungali tukiona mifuko ya lambo na viroba vikiwa vimejaa uchafu.

Kumekuwa na juhudi nyingi na matamko mbalimbali kufanikisha usafi lakini tumekuwa tukirudi kule kule kwa mwanzo(uchafu kila eneo).

Baada ya tamko la Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam,Mhe.Paul Makonda kuhamasisha usafi Jijini hali iliyoleta faraja kuwa sasa ile ndoto yetu kufanana usafi au kuwapita Rwanda imetimia.

Lakini katika pitapita katika maeneo mbalimbali bado hali sio tuliyoitazamia,usafi umefanyika lakini bado viroba na mifuko iliyojaa uchafu imezagaa. 


Tunajiuliza magari ya kusombea taka taka yapo wapi ?

Je hatukujianda na hili ?

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top