Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TETESI USAJILI ULAYA MICHUANO YA EURO 2016Chama cha Soka Uingereza kilifanya mazungumzo ya siri na Meneja wa Celtic Brendan Rodgers mwaka jana ili aweze kuchukua mikoba ya  Roy Hodgson, 68 (Sun)

Manchester City imetoa kiasi  £30m Kwa Mshambuliaji wa  Schalke Leroy Sane, 20 ili iweze kumsajili  (Daily Mail)

Kocha mpya wa  United bosi Jose Mourinho anajiaandaa kutoa ofa ya  £35m kwa  Arsenal ili imchukie kiungo mwenye miaka 25 kutoka  Wales kiungo Aaron Ramsey. (Sun)

Ryan Giggs is set to leave Manchester United for his first managerial role, ending a 29-year association with the Old Trafford club. (Daily Mail)

Wayne Rooney amewashauri wachezaji wenzake wakongwe na wapya katika timu ya Taifa ya Uingereza kujiepusha na mitandao ya kijamii huku wakielekea katika mechi za mtoano katika michuano ya EURO 2016 ambapo watakipiga na Iceland  (The Times - subscription only)Tottenham imekubali kulipa  £12m kumsajili mshambuliaji wa  Roma mwenye miaka 20 anayechezea timu ya Taifa  Paraguay Mshambuliaji  Antonio Sanabria. (Gazzetta dello Sport - in Italian)

Chelsea imeanzisha mazungumzo na  Real Madrid juu ya Mshambuliaji  Alvaro Morata, na Tajiri Roman Abramovich alishuhudia mwenyewe mchezaji huyo mwenye Miaka  23 akiichezea timu ya taifa ya Spain mjini  Bordeaux . Euro 2016. (Telegraph)

Liverpool inataka kumsajili  Sadio Mane, kutoka Southampton mwenye miaka  24 MSenegal kwa kitita cha  £25m. (Daily Express)

West Ham United inajiandaa kutoa ofa ya  £15m kwa mchezaji anayekipiga  Juventus na timu ya taifa  Italy Simone Zaza, 24. (Guardian)

West Ham amerudi kwa  Lyon striker Alexandre Lacazette, 24 na wako tayari kutoa kiasi cha £30m . (Daily Mirror)

Liverpool inajiandaa kumuuza kiungo wake mwenye miaka  26 na anayekipiga  Wales , Joe Allen kwa kiasi cha  £10m. (Telegraph)


Arsenal imeanzisha mazungumzo na beki wake wa kulia  ili kuongeza mkataba Hector Bellerin, 20. (Sport - in Spanish)

Inter Milan wanataka kumsajili beki wa  Manchester City mwenye miaka 31 MuArgentina  Pablo Zabaleta. (Sun)

Kwa tetesi zaidi za usajili ni hapo Kesho Alhamisi
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top