Didier Drogba amesaini Klabu ya Shanghai Shenhua ya China kwa mkataba wa miaka 2 na nusu.Hivyo kuna uwezekano mchezaji huyo kukutana uso kwa uso na Manchester United July 25 wakati Man U watakapo kuwa kwenye michezo ya kujiandaa na Msimu ujao wa EPL.
Post a Comment