
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akimuelekeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif katika jengo linalotarajiwa kuhamishiwa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali huko Maruhubi.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wafanyakazi wa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali baada ya kufanya ziara katika kiwanda cha upigaji chapa kilichopo Saateni mjini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akiangalia kitabu kilichopigwa chapa katika kiwanda cha upigaji chapa cha serikali Saateni wakati wa ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Friday, June 22, 2012
Post a Comment