Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mdee amvaa Ngeleja

Mashambulizi kati ya kambi ya upinzani hususani CHADEMA na Chama Tawala CCM jana yaleendelea tena ambapo Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh.Halima Mdee kuchafua hali ya hewa kwa kusema aliekuwa Waziri wa Nishati na Madini Mh.William Ngeleja ana hasira kutokana na kuvuliwa uwaziri katika mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika hivi karibuni na Rais Kikwete.
''Inaonekana Ngeleja ana hasira ya kutoswa uwaziri''alisema Mh.Mdee kauli hiyo aliitoa baada ya kuomba muongozo wa Spika baada ya Mh.Ngeleja aliekuwa anachangia mjadala wa Bajeti kuituhumu CHADEMA kuwa wanawadanganya wananchi kwa kuleta Bungeni Bajeti mbadala yenye mapungufu mengi na kuiponda vilivyo bajeti.

Baada ya Mh.mdee kuongea hivyo Spika alimuomba afute kauli yake alisema ''futa kauli yako kama unataka kuendelea..nimesema futa kauli yao..hiyo sio taarifa..'' alifoka Spika Makinda

Baada ya Spika kumuamuru Mh.Mdee aliamua kufuta kauli yake na kutoa ufafanuzi kuwa kasoro alizoongelea Mh.ngeleja zilishatolewa ufafanuzi na Waziri kivuli wa Fedha Mh.Kabwe kuonyesha jedwali hilo walilorekebisha
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top