

Baadhi ya Majengo ya Shule ya Msingi Rundugai ambayo ni imara mpaka sasa japo yamejengwa zaidi ya miaka 30 iliyopita kama unavyoyaona hapo juu.

Hili ni jiko La shule ambalo linatumika kuwapikia Wanafunzi shuleni hapo.Shule hii ipo kata ya Masama Rundugai,Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro.
Picha na Mdau wa Rundugai Blog.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Thursday, June 28, 2012
Post a Comment